1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hatimae mwili wa Hayati Magufuli wastiriwa

26 Machi 2021

Hatimae mwili wa Hayati John Pombe Magufuli Rais wa awamu ya tano wa taifa hilo aliyefariki tarehe 17.3.2021 kule Dar es Salaam umelala katika nyumba yake ya milele.

Tansania | Trauer | Beisetzung ehemaliger Präsident Joseph Magufuli
Picha: Luke Dray/Getty Images

Hatimae mwili wa Hayati John Pombe Magufuli Rais wa awamu ya tano wa taifa hilo aliyefariki tarehe 17.3.2021 kule Dar es Salaam umelala katika nyumba yake ya milele jioni hii katika makazi yake eneo la kilimani Chato huku mamia kwa maelefu ya watanzania wakushuhudia tukio hilo moja kwa moja kutoka kilimani Chato na pia kupitia vyombo vya habari vya ndani na nje ya Tanzania

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW