UgandaHatua za kuimarisha masomo ya Hisabati na Sayansi kwa vitendo Uganda02:47This browser does not support the video element.UgandaLubega Emmanuel14.03.202414 Machi 2024Mbinu ya kufunza sayansi, teknolojia, uhandisi na hisabati kama somo jumuishi lijulikanalo kwa ufupi kama STEM, imependekezwa hivi karibuni Uganda ili kuwasaidia wanafunzi waweze kukumbatia masomo ya Sayansi. Nakili kiunganishiMatangazo