1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
JamiiIndia

Hekalu jipya la mungu Ram, lafichua mpasuko India

03:10

This browser does not support the video element.

Hawa Bihoga
31 Januari 2024

Waziri Mkuu wa India Modi amezindua hekalu lenye utata la Wahindu huko Ayodhya, lililojengwa kwenye msikiti wa karne nyingi uliobomolewa miaka ya 1990. Kubomolewa kwa eneo la zamani la dini ya Kiislamu kulisababisha ghasia ambapo maelfu, wengi wao wakiwa Waislamu, waliuawa kote India.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW