Mzee Kombo hakuwa na raha kwenye ndoa yake kwa kuwa mkewe, Mama Mbeyu, alimzalia watoto wawili na wote wa kike, lakini karaha ilikuja kugeuka furaha kuu pale alipofahamu kuwa hata wa kike naye pia ni mtoto.
Matangazo
Sikiliza simulizi hii ya Khadija Ali kwa kubonyenza alama ya spika za masikioni hapo chini.