Mawaziri na wataalam wa mazingira kutoka nchi saba za Afrika ya kati wamekutana mjini kinshasa kwa ajili ya kutathmini mpango wa pamoja wa hifadhi ya mbuga za wanyama na kuwa na aina mbali mabli za wanyama na mimea katika nchi zao.
Matangazo
Umoja wa ulaya umeahidi msaada wa dola milioni nne kwa mpango huo, kama anavyoripoti mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo. Sikiliza ripoti yake.