Historia – Kipindi 03 – Biashara09.03.20119 Machi 2011Baada ya siku ya soko ya mafanikio, Juna anataka kujifunza kuhusu biashara. Na ni kutoka kwa nani unakoweza kujifunza mengi zaidi? Kutoka kwa yule mzuri bila shaka! Tumsikie babu Peter anayoyafahamu kuhusu WaswahiliNakili kiunganishiMatangazo