UtamaduniHistoria ya Tanzania katika maonyesho ya Berlin02:27This browser does not support the video element.UtamaduniSylvia Mwehozi04.12.20244 Desemba 2024Tanzania na Ujerumani zina historia ya muda mrefu na iliyojaa machungu hasa wakati wa ukoloni. Maonyesho kuhusu historia ya Tanzania yamefanyika mjini Berlin na kuhusisha mali zilizoporwa na Wajerumani. Nakili kiunganishiMatangazo