1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hoteli ya Kempinski haitoendeshwa tena Zanzibar

16 Mei 2011

<p>Habari kutoka Zanzibar zinasema kwamba kampuni ya Kempinski inayoendesha mahoteli ya kifahari na ya utalii sehemu nyingi za dunia sasa haitoendesha tena hoteli ya jina la kampuni hiyo ilioko Kiwengwa, Kisiwani Unguja.

Kisiwa cha ZanzibarPicha: Stefan Pommerenke
Mmiliki wa hoteli hiyo ya kifahari sasa anatafuta kampuni nyingine kusimamia uendeshaji wa hoteli hiyo. Na ilivokuwa watalii wenye kujiweza wanaoelekea Visiwani Zanzibar makaazi yao huwa katika hoteli hiyo, Othman Miraji alizungumza hivi punde na katibu mkuu wa wizara ya habari, utamaduni, utalii na michezo ya Zanzibar, Dr Ali Mwinyikai, kupata zaidi kuhusu mada hii...

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW