1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hotuba ya Samia baada ya kuapishwa

00:27

This browser does not support the video element.

3 Novemba 2025

Baada ya kuapishwa leo kuiongoza Tanzania kwa muhula mpya wa miaka mitano, Rais Samia Suluhu Hassan ametoa hotuba iliyosisitiza umoja wa kitaifa na dhamira ya kuendeleza maendeleo ya kijamii na kiuchumi kwa raia wote. Rais Samia aliahidi "kulinda na kutetea katiba na umoja wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania." Hafla ya kuapishwa kwake ilifanyika mjini Dodoma chini ya ulinzi mkali.

Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Kurunzi

Vidio ya habari na matukio

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW