Ibada ya Hijja Makka yafikia kilele
26 Novemba 2009Matangazo
Kutoka Arafat Mohamed Abdulrahman amezungumza na B. Majid Hakizimana ambaye pamoja na kushiriki katika Hijja ,yeye pia ni mwanafunzi huko Saudi Arabia na alikuwa na haya ya kuelezea juu ya kile kilichojiri hii leo.
Mahojiano: Mohamed /Alhaji Hakizimana
Mpitiaji : Aboubakary Liongo