1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ibada ya Hjja huko Makka,Saudi Arabia

4 Novemba 2011

Ibada ya Hijja huko Makkah, kwa zaidi ya waislamu milioni 2.5 kutoka pande mbali mbali za dunia imeendelea leo kwa mahujaji wengi hivi sasa kuwasili Minna, mji ulioko nje kidogo ya Makkah.

Mji wa Minna ambako mahuhaji wanawasili leoPicha: DW/Almakhlafi

Siku ya jumapili waislamu kote duniani watasherehekea sikukuu ya IDD al-Adhha. Nchi za Afrika Mashariki zina mahujaji wengi mwaka huu, licha ya ugumu wa hali ya kiuchumi.

Othman Miraji alizungumza na mmoja wa watu wanaowaongoza mahujaji kutokea Kenya, Sheikh Ahmed Idriss, na alianza kuelezea vipi mambo yalivyo mwaka huu:

Mwandishi: Othman, Miraji

Mhariri: Mohammed Khelef

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW