1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ibada ya mashahidi wa Uganda

03:26

This browser does not support the video element.

3 Juni 2022

Ibada hii ambayo hufanywa na waumini wa dini ya Kikristo kwa Afrika mashariki kwa mara nyingine wanajumuika tena baada ya kutojumuika kwa miaka miwili kutokana na janga la virusi vya Corona.Ibada hii hulifanya taifa la Uganda kupokea idadi kubwa ya wageni kutoka sehemu mbalimbali, kwa ajili ya ibada na hata utalii.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW