1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ibrahim Boubacar Keita afariki dunia

16 Januari 2022

Ibrahim Boubacar Keita afariki dunia

Mali Ibrahim Boubacar Keita
Picha: AFP/L. Marin

Rais wa zamani wa Mali Ibrahim Boubacar Keita amefariki dunia.

Kiongozi huyo wa zamani aliyeiongoza nchi hiyo ya Afrika Magharibi kutoka mwaka 2013 hadi alipopinduliwa madarakani mwaka  2020 amefariki akiwa na umri wa miaka 76.

Amefariki mjini Bamako Jumapili ya leo 16.01.2022 kwa mujibu wa familia yake.

 

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW