1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
MigogoroHaiti

Idadi ya watu waliouawa katika shambulizi Haiti yafikia 115

9 Oktoba 2024

Shambulizi hilo la Oktoba 3 dhidi ya wakaazi wa Pont-Sondé lilikuwa moja ya mauaji mabaya kabisa kuwahi kushuhudiwa katika historia ya hivi karibuni ya Haiti.

Magenge ya uhalifu yaendelea kuitatiza Haiti
Magenge ya uhalifu yaendelea kuitatiza HaitiPicha: Ralph Tedy Erol/REUTERS

Shambulizi hilo la Oktoba 3 dhidi ya wakaazi wa Pont-Sondé lilikuwa moja ya mauaji mabaya kabisa kuwahi kushuhudiwa katika historia ya hivi karibuni ya Haiti.

Myriam Myriam Fièvre, Meya wa mji jirani wa Saint-Marc amesema idadi huenda ikaendelea kuongezeka, kwa sababu maafisa bado wanaitafuta miili ya watu waliouawa na hawajaweza kuyafikia baadhi ya maeneo ya mji.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW