1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Idlib yatisha

01:09

This browser does not support the video element.

10 Septemba 2018

Wanajeshi wa Syria,Urusi na Iran wameizunguka Idlib wakijiandaa kufanya mashambulizi ambayo huenda yakawa ya maangamizi makubwa nchini Syria,ni baada ya kushindwa kwa juhudi za kutafuta usitishaji mapigano.Maelfu wameukimbia mkoa huo wa Kaskazini Magharibi mwa Syria

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW