SiasaIEBC haijapokea barua ya Odinga kujitoa kwenye uchaguzi 02:03This browser does not support the video element.SiasaGrace Kabogo12.10.201712 Oktoba 2017Tume ya Uchaguzi Kenya haijapokea barua rasmi ya Odinga kujitoa kwenye uchaguzi mpya; Ripoti ya njaa duniani imesema njaa duniani imepungua kwa zaidi ya robo moja tangu mwaka 2000; na Vyama vya Hamas na Fatah vimefikia makubaliano. Nakili kiunganishiMatangazo