SiasaIEBC na serikali zashindwa kukubaliana29.09.201629 Septemba 2016Tume ya uchaguzi Kenya haijaafikiana na serikali juu ya kiwango cha malipo kwa makamishna wanaotaka kubanduliwa madarakani. Upinzani unasisitiza makamisha wa tume waondoke kufikia tarehe Mosi Oktoba.Nakili kiunganishiWaandamanaji wanaoipinga IEBCPicha: DW/A. KitiMatangazoJ2.29.09.2016 IEBC Crisis - MP3-StereoThis browser does not support the audio element.