1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

IEBC yataka Wakenya watulie

5 Machi 2013

Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka ya Kenya (IEBC) imesema kwamba bado ni mapema mno kwa watu kuanza kusherehekea ushindi kwani kura zilizohisabiwa hadi sasa ni chini ya asilimia 10 ya kura zote zilizopigwa.

Kenya's Prime Minister and presidential candidate Raila Odinga votes at Kibera primary school during the presidential election in Nairobi March 4, 2013. Polling stations opened up to Kenyans on Monday for a tense presidential election that will test whether the east African nation can repair its damaged reputation after the tribal blood-letting that followed a 2007 poll. REUTERS/Noor Khamis (KENYA - Tags: ELECTIONS POLITICS)
Kenia Wahlen Raila OdingaPicha: Reuters

Mwandishi wa Mombasa anasema kwamba hali ya usalama imeimarika kwenye pwani ya Kenya licha ya hapo jana kuripotiwa visa vya mauaji.

Kusikiliza mahojiano hayo, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.


Mhariri: Mohammed Khelef

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW