Unakumbuka nini kuhusu safari ya Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya Raila Odinga? Unayakumbuka mapito ya safari yake ya siasa? Unaukumbuka vipi urithi wake mwanaharakati huyu wa kisiasa? Tazama video hii. #Kurunzi
Kurunzi ni video fupi ya DW Kiswahili inayomulika na kufafanua habari, matukio au masuala muhimu kwa lugha rahisi, picha zinazovutia na maelezo yanayomsaidia mtazamaji kuelewa kwa haraka.