JamiiIjue timu ya soka ya Walemavu Uganda02:00This browser does not support the video element.JamiiSaumu Mwasimba12.09.201812 Septemba 2018Ni timu inayojiamini katika mchezo wa soka nchini Uganda.Timu ya soka ya vijana walemavu inajiandaa kwa michuano itakayofanyika mwakani nchini Angola.Timu hiyo ilianzishwa mwaka 2014 na ina wachezaji wenye ulemavu wa miguu na wengine hawana mikonoNakili kiunganishiMatangazo