1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ijuwe maktaba ya bustanini

01:05

This browser does not support the video element.

10 Januari 2019

Wajerumani wana utamaduni wa kuviweka vitabu walivyokwishasoma kwenye maktaba za bustanini, maarufu kama "Offener Bücherschrank", ambayo huwaruhusu watu wengine kuja kuazima na kusoma vitabu hivyo wawapo mapumzikoni. Unaweza hata kuchukuwa na kwenda kusoma nyumbani na kisha kurejesha. Kurunzi

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW