1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ilwad Elman: Mwanaharakati anayewasaidia watoto waliotumikishwa vitani Somalia

04:17

This browser does not support the video element.

13 Aprili 2021

Mwanaharakati wa Somalia Ilwad Elman alishinda tuzo ya Ujerumani kwa Afrika mwaka 2020. Kijana huyo mwenye umri wa miaka 29 anatumia mbinu kabambe na kujitolea kwa moyo wote kuwasaidia watoto waliotumikishwa jeshini pamoja na wahanga wa ubakaji mjini Mogadishu kukabiliana na msongo wa mawazo na kurudi katika maisha ya kawaida.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW