1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Imamu na Rabbai waunganisha jamii katikati ya mzozo wa Gaza

03:11

This browser does not support the video element.

Hawa Bihoga
9 Mei 2024

Tangu shambulio la kigaidi la Hamas la Oktoba 7 na vita vya kulipiza kisasi vya Israel katika Ukanda wa Gaza, maandamano yamezuka ulimwenguni kote. Mjini Berlin katika eneo la Neukölln pamekuwa kitovu cha maandamano ya wafuasi wanaoiunga mkono Palestina na kuzusha wasiwasi. Viongozi wa dini kutoka pande hizo mbili wameungana kuonesha kwamba urafiki unaweza kuwepo licha ya nyakati ngumu za mzozo.

Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Kurunzi Ujerumani

Vidio ya habari na matukio

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW