JamiiInakuwaje umeme unapokatika wakati mama anapojifungua?02:38This browser does not support the video element.Jamii29.12.202129 Desemba 2021Nigeria ina asilimia 10 ya vifo vya wanawake wajawazito kote ulimwenguni. Ili kujua hasa tatizo, mwandishi wa DW Flourish Chukwurah alishuhudia kisa kimojawapo cha upasuaji wa dharura wa mama aliyekuwa anajifungua jijini Lagos.Nakili kiunganishiMatangazo