Matangazo
Iran na Urusi zatangaza mwisho wa kundi lijiitalo Dola la Kiislamu (IS) nchini Syria, Marekani yasema Korea Kaskazini ni taifa linalofadhili ugaidi duniani na wabunge wa Zimbabwe wajipanga kumuondoa Rais Robert Mugabe. Papo kwa Papo, 21 Novemba 2017.