IRAN threatens to attack US targets.
12 Julai 2008Matangazo
TEHERAN.
Afisa wa ngazi za juu wa Iran amesema nchi yake itaiteketeza Israel na vituo vya kijeshi 32 vya Marekani ikiwa itashambuliwa.
Msemaji huyo ameeleza kuwa Marekani inajua vizuri kwamba Israel, pamoja na vituo vya kijeshi vya Marekani katika mashariki ya kati vinaweza kufikiwa na makombora ya Iran, ikiwa Marekani itachukua hatua yoyote dhidi yake.