1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Iraq kwatibuka tena

01:08

This browser does not support the video element.

11 Mei 2020

Waandamanaji wa msimamo wa wastani wanaoipinga serikali wamerejea kwenye mitaa kadhaa ya Iraq siku chache tu baada ya serikali ya waziri mkuu mpya Mustafa Kadhemi kuingia mamlakani. Maandamano haya mapya yanahitimisha miezi kadhaa ya utulivu nchini humo. #Kurunzi

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW