JamiiIsmat ni mwanasarakasi jasiri licha ya ulemavu02:55This browser does not support the video element.Jamii22.01.202122 Januari 2021Mohammad Ismat (29) kutoka Mombasa, Kenya ni mchezaji densi, mwana sarakasi na pia mwalimu wa Yoga. Kijana huyu ameweza kufanya yote hayo licha ya kuwa na ulemavu wa macho alioupata baada ya kupata saratani. #KurunziNakili kiunganishiMatangazo