MigogoroMamlaka ya PalestinaIsrael yazidisha mashambulizi katika ukanda wa Gaza 01:35This browser does not support the video element.MigogoroMamlaka ya PalestinaBabu Abdalla10.07.202410 Julai 2024Vikosi vya Israel vimefanya mashambulizi makali zaidi leo kwenye Ukanda wa Gaza siku moja baada ya kuilenga shule katika hujuma ambayo maafisa wa afya wa Kipalestina wamesema imewaua watu wasiopungua 29. Nakili kiunganishiMatangazo