1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Isreal yasherehekea miaka 70 ya uhuru

01:36

This browser does not support the video element.

Daniel Gakuba
19 Aprili 2018

Taifa la Israel linaadhimisha miaka 70 tangu lilipoundwa. Katika sherehe hizo zinazoendelea, Waziri mkuu wa nchi hiyo Benjamin Netanyahu amesema Israel imekuwa taifa kubwa ambalo litashinda ''giza'' la maadui zake. Wakati huo huo Wapalestina wanakumbuka siku waliyopoteza ardhi zao, na kuingia ukimbizini au katika ardhi zinazokaliwa na Israel kimabavu.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW