ISTANBUL. Mlipuko wa bomu ndani ya mkahawa
24 Julai 2005Matangazo
Habari tunazoztipokea hivi punde zinaarifu kutokea mlipuko wa bomu linalokisiwa kuwa kulipuliwa kwa rimoti katika mkahawa mmoja mjini Istanbul nchini Uturuki.
Raia mmoja wa Udachi na Mturuki mmoja wafanya kazi wa mkahawa huo ni majeruhi walionusurika kifo mapema leo huku polisi mjini Istanbul wakitoa ripoti kuwa wanawashuku waasi wa kikurdi kuhusika na shambulio hilo