1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ivory Coast: Redio inayopaza sauti za wasichana

03:04

This browser does not support the video element.

Yusra Buwayhid
25 Juni 2020

Kila Jumamosi, kundi la vijana wadogo huko Ivory Coast wanatangaza kipindi cha redio kinachojadili mada ambazo ni mwiko katika jamii zao, kama vile utoaji mimba, ubakaji pamoja na ukeketaji wa wanawake. Wanahabari hao wachanga wanataka kuwahamasisha wasichana kupaza sauti zao na kupambana na mitizamo iliyopitwa na wakati.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW