1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
AfyaAngola

Jarda: Mtindo hatari wa kuongeza shepu

01:41

This browser does not support the video element.

Hawa Bihoga
26 Juni 2023

Nchini Angola, mtindo hatari unaojulikana kama "Jarda" unakua. Unahusisha kuingiza vitu fulani ndani ya mwili ili kupanua eneo maalum. Huu ni upasuaji wa bei nafuu zaidi kuliko ule unazotolewa katika hospitali maarufu na za wabobezi... hata hivyo kuna madhara mabaya zaidi.

Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Picha: Ashley Cooper/Global Warming Images/dpapicture alliancePicha: Ashley Cooper/Global Warming Images/dpapicture alliance

Kurunzi Afya

DW Kisuaheli inakuletea vidio maalumu kuhusu masuala ya afya. Kila wiki Dkt. Sizya atakuwa akikuelimisha kuhusu mada muhimu zinazuhusu afya yako.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW