Haki sawaAfrikaJe, Afrika imefikia lengo la usawa wa kijinsia?02:49This browser does not support the video element.Haki sawaAfrikaHawa Bihoga06.03.20256 Machi 2025Ingawa maendeleo yamepatikana kuelekea usawa wa kijinsia katika nyanja za kisiasa, kiuchumi na kijamii barani Afrika, bado kuna jitihada zaidi zinahitajika kufikia lengo katika ulimwengu unaobadilika.Nakili kiunganishiMatangazo