Je, katiba mpya ipo Tanzania?
30 Machi 2014
Matangazo
Katika kipindi hiki cha Maoni Mbele ya Meza ya Duara, Mohammed Khelef anaongoza mjadala juu ya hatima ya Katiba Mpya nchini Tanzania.
Kusikiliza makala hii, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.