1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mitizamo ya vijana kuhusu sherehe za Krismasi na Mwaka Mpya?

03:13

This browser does not support the video element.

22 Desemba 2020

Msimu wa sherehe za Krismasi na mwaka mpya umewadia na maswali tunayokuuliza ewe kijana je wewe umejipanga vipi kwenye sherehe kwa manufaa yako na ya wengine? Wapo wanaotumia fedha nyingi katika sherehe wakasahau kuwa baadaye watahitajika kugharamia mambo mengine kama karo ya shule kwa wanafunzi. Wengine hujiingiza katika anasa. Lakini wapo wengi wanaosherehekea kwa ustaarabu.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW