1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je mjadala wa kitaifa Kenya utamaliza matatizo yanayolikumba taifa hilo?

Admin.WagnerD2 Juni 2014

Serikali ya Kenya iko tayari kufanya mjadala wa kitaifa na upinzani kujaribu kuyatatua matatizo yanayoikumba nchi hiyo

Picha: picture-alliance/AA

►Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amesema serikali yake iko tayari kufanya mjadala wa kitaifa wenye lengo la kujadili namna ya kukabiliana na matatizo yayanayolikumba taifa hilo kwa sasa yakiwemo ya usalama na rushwa. Uamuzi huo unafuatia kauli iliyotolewa na upande wa muungano mkuu wa upinzani wa CORD unaoongozwa na Raila Odinga ikihimiza serikali kuanzisha mjadala wa wazi kuhusu matatizo hayo

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW