Je, Polisi wapewe mafunzo maalumu kukabili maandamano?02:46This browser does not support the video element.Sylvia Mwehozi21.08.202421 Agosti 2024Wakati wa maandamano maafisa polisi hushuhudiwa wakitumia nguvu kupita kiasi. Katika vidio hii Mtaalamu wa usalama wa Kenya Byron Adera anachambua jinsi polisi wanapaswa kuyadhibiti maandamano. #vijanamubashara Nakili kiunganishiMatangazo