1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je taswira kamili ya demokrasia na maendeleo nchini Rwanda ni gani?

04:13

This browser does not support the video element.

27 Juni 2019

Rwanda inajulikana kama nchi ya mfano wa maendeleo barani Afrika na mitaa misafi ya mji mkuu wake pamoja na majengo marefu, vinaakisi uchumi wa kisasa na jamii inayoendelea. Lakini dhana na uhalisia viko mbalimbali kabisaa kuliko wengi wanavyofikiria. Wakosoaji wa Kagame wanasema taswira ya Rwanda imesanifiwa na inaficha ukweli wa kutisha.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW