AfyaJe uchoraji tattoo huweza kusababisha saratani ya ngozi?03:15This browser does not support the video element.AfyaSalma Mkalibala11.10.202111 Oktoba 2021Urembo wa tattoo ni miongoni mwa sanaa inayopendwa na baadhi ya watu hususan vijana. Lakini je uchoraji huo wa tattoo unaweza kusababisha madhara yoyote kwa mtu kiafya mfano saratani ya ngozi? Kurunzi ya Afya inajaribu kulijibu swali hilo.Nakili kiunganishiMatangazo