Sheria na HakiAfrikaJe, Ulaya inapaswa kulipa kwa utumwa wa Atlantiki?02:01This browser does not support the video element.Sheria na HakiAfrikaMichael Kwena26.03.202626 Machi 2026Ghana inataka Umoja wa Mataifa utangaze biashara ya watumwa ya Atlantiki kuwa uhalifu mbaya zaidi katika historia ya binadamu. Lakini kadri madai ya fidia yanavyoongezeka, viongozi wa Ulaya wanaanza kupinga. Nakili kiunganishiMatangazo