MichezoJe unafikiri ni timu zipi zitang'aa zaidi katika AFCON?01:17This browser does not support the video element.MichezoJohn Juma21.06.201921 Juni 2019Michuano mikubwa ya soka barani Afrika inafanyika Cairo Misri huku timu 24 zikishiriki. Je unafikiri, ni timu zipi zitaweza kusonga mbele kutoka awamu ya makundiNakili kiunganishiMatangazo