1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je, unalijua vazi la 'hando'?

Saumu Mwasimba14 Desemba 2011

Wanawake wa Kigiriama katika pwani ya Kenya huvaa vazi la hando kuongeza unene katika maumbile yao, kwani uzuri wa mwanamke katika jamii za Kiafrika ni kuwa mnene.

Sanaa ya Afrika
Sanaa ya AfrikaPicha: DW/A.Cascais

Saumu Mwasimba anazungumzia historia, maana na matumizi ya vazi la hando la katika jamii ya Kigiriama, pwani ya Kenya.

Mtayarishaji/Msimulizi: Saumu Mwasimba
Mhariri: Josephat Charo

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi
Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW