JamiiTanzaniaJe unazijua kofia za vito?03:10This browser does not support the video element.JamiiTanzaniaAmina Mjahid 05.12.20225 Desemba 2022Hizi ni Kofia za kitamaduni zinazopatikana sana katika jamii ya waswahili kutoka maeneo ya pwani. Kofia hizi zipo za aina tofauti na utengenezaji wake sio rahisi bali ni ujuzi unaopatikana katika visiwa vya Lamu, Mombasa na Zanzibar. Nakili kiunganishiMatangazo