Vifaa visivyo salama kama makopo yaliyojazwa zege, bila kujulikana uzito wake, vinaweza kusababisha majeraha makubwa wakati unapovitumia kufanya mazoezi. Unapofanya mazoezi, lengo ni kuimarisha afya yako lakini utumiaji wa vifaa duni huenda ukakusababishia matatizo zaidi kuliko faida. Zaidi tizama vidio hii, mtayarishaji ni Fathiya Omar mwandishi wetu kutoka Mombasa, Kenya. #kurunziafya