1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je, Vincent Oti yu wapi?

9 Novemba 2007

Kiongozi wa kundi la waasi wa LRA, Joseph Kony, hatimaye amezungumza na mmoja wa wanaharakati wa kutafuta amani Kaskazini mwa Uganda kuhusu majaaliwa ya naibu kiongozi wa kundi la LRA bado hajauawa lakini yuko chini ya ulinzi mkali.

Sikiliza ripoti kamili ya Omar Mutasa kutoka Kampala.
Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW