1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je, vipindi vya Noa Bongo vimeyagusa maisha yako?

25 Mei 2011

Kuna mtu yeyote mahala popote ulimwenguni? Tungependa kujua! Je, vipindi vyetu vimeyagusa maisha yako kwa njia yoyote ile? Kama maisha yako yamebadilika, tuambie basi!

Picha: Corbis
Ukitaka kutuandika barua pepe, bonyeza hapo chini. Tunafurahia sana kusikia maoni yako! Tafadhali ukumbuke kuwa baadhi ya maoni yako huenda yakachapishwa kwenye tovuti yetu.
Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW