JamiiAfrikaJe wafahamu kuhusu jamii ya Wabulushi nchini Kenya?03:04This browser does not support the video element.JamiiAfrika14.03.202214 Machi 2022Wabulushi ni watu wa Asia kutoka mataifa ya Afghanistan, Pakistan na Iran ambao wamekuwa sehemu ya jamii ya waswahili wa Mombasa, Kenya na Afrika Mashariki. Fahamu historia yao kupitia video hii ya DW Kiswahili.Nakili kiunganishiMatangazo