1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Jela ya kisiwa cha Robben itasalia kuwa kumbukumbu

01:04

This browser does not support the video element.

17 Julai 2018

Rais wa zamani wa Afrika Kusini na shujaa wa Afrika Nelson Mandela alikamatwa mwaka 1962 kwa madai ya kupanga njama ya kuipindua serikali na akapewa kifungo cha maisha jela. Aliishia kufungwa kwa miaka 27 na mojawapo ya jela alizohudumia hicho kifungo chake ilikuwa katika kisiwa cha Robben.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW