1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je,mafuta yaliotumiwa muda murefu yanaathari kwa afya ?

02:40

This browser does not support the video element.

14 Machi 2022

Wakati bei ya bidhaa ya mafuta ya kupikia ikiwa imepanda katika maeneo kadhaa,wataalamu wametahadharisha kuhusu madhara ya kiafya inayotokana na matumizi ya mafuta ambayo hutumika kwa muda mrefu pasipo kubadilishwa.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW